Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Waliambiwa wafungue shampein ila baada ya kuifungua wakafanya kituko
Waliambiwa wafungue shampein ila baada ya kuifungua wakafanya kituko
kwanza kwenye harusi za wazungu sizionagi sijui ushamba huu unatokea wapi?Kwani hayo mashempeni ni utamaduni wetu au basi tu tunaiga vya wazungu!
Ha ha haaa, ila wamefanya poa sana maana wameleta utofauti na harusi zingine!!huyo mmoja alikuwa anaimwaga yote mc kaokoa jaazi ahahaa
Mie nafahamu wazi, kuna watu wengi humu JF hawajawahi fungua Champagne...Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.
kwanza harusi za kisukuma huwa wana "fuhwa" bibi harusi anamwagiwa mtama mweupe uliosafishwa vizuri na bwana harusi napakwa siagi kuashiria baraka za utajiri wa ng'ombe, hayo mapombe ya putin ni ushamba tu, usijekuta hao wamama ni walokole mumewanajisi tu,Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.