Shampein (champagne) yaumbua wazazi wa maharusi

Hiyo imekaaa poa sana, wajinga wengine wataona wale ni washamba, bibi mambo ya wazungu wapi na wapi
 
Mimi sijaona udhalilishaji hapo kwanza hiyo ni siku ya furaha kunatakiwa kuwepo na vituko vya kufurahisha visivyo udhi!!ubunifu mzuri sana
Burdaaaaaniii.......................hata sisi huku tumeburudika......very innovative kwa kweli.......Sukuma syle.......si kila kitu tufanye kama wazungu...........sichoki kuiangalia......ahahaaaa
 
Back
Top Bottom