Shampein (champagne) yaumbua wazazi wa maharusi

Ila ni ushamba kuwadhalilisha wazazi kwa vitu vya kishamba

WASUKUMA MUNGU WANGU.
 
Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.
Hahahaa jiwe limepigwa kunako unajua kazi ya bandama wewe
 
Limbukeni na washamba ni hao waliowapa hilo zoezi la kufungua Shampenya. Wazee wa watu hawana habari na wamejiachia kwa nafasi, sioni cha ajabu hapo. Asilimia kubwa ya Wazandiki mnaowacheka hao wazee huku wazazi wenu hawawezi hata kufungua chupa ya chai.
Kwanza huku kwetu Africa vinywaji vyetu vya asili ni togwa, ulanzi, mbege nk. Ila ushamba ndo umetufanya tusahau vyetu na kuiga vya wazungu....!
 
Kila kitu binadamu anajifunza. Waliwakamatishaje shampain bila kuwaandaa. Kwanza shampain inasaidia nini!Waafrika kuiga iga tu!mfyuuu!!
 
Back
Top Bottom