Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Hukumu ni kubwa sana, kwa huyu mke wangempunguzia kidogo.
 
Hizo zinamalizwa polisi kiuungwana...ikienda mahakamani ni habari nyingine, hapo labda ushahidi usijitosheleze, kwahiyo bado huruma ya polisi inahusika...ila wakiamua kukukomalia, nyundo nyingi zitakuhusu...ila kiukweli kumfunga mtu miaka mingi kwa kesi ya bangi ni uonevu..hiyo sheria iangaliwe upya
Tuna wabunge wapuuzi sana wakina babu tale na mwana fa kuna yule wa kawe vituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Du tamaa mbele mauti nyuma. Je wana watoto? Sipati picha watoto wao watajisikiaje. Hata hivyo, kama kweli walisafirisha hii kitu wanastahili maana wanaumiza wengine kwa tamaa yao ya utajiri.
 
Back
Top Bottom