Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Aseh, inasikitisha sana, mimi simlaumu sana bwn Nsembo, maana wakati mwingine presha ya maisha ukiwa na moyo mwepesi inakufanya uingie hata ktk shughuli haramu ili ufanikiwe maisha bora.

Mungu awape ustahimilivu, wakibahatika kunusurika ktk rufaa basi waachane na madawa ya kulevya maana yanaleta athari kubwa sana kwa vijana.
Epuka hiyo pressure...pressure hizo zamani ziliwafanya vijana kumeza sana unga wasafirishe wengi walikufa wengine kufungwa,wako wengine mpaka leo utumbo
Zao zimeathirikaa

Ova
 
Hahahaha walite zao kwani halikuwa halijui hilo kuwa ana watoto na hii kazi kuna siku unaweza dakwa? Hamna kapunguza hukumu hapo.

Mzeya unataka kuanzisha prison break...nina namba ya aliyekuwa tunnel engineer wa de guzman hapa...leta tenda hiyo mzee tufanye kazi ya kumkomboa mrembo.
Hahahahahah falaaa Sana wewe

Dizaini Fox River au Sona au sanaa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana malaika hawana free will

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ni Mwanadamu pekee ameumbwa na free will. Malaika ni kama weak Artificial Intelligence ambayo inakua assigned kwa task fulani. Lakini Mwanadamu ni kama strong artificial intelligence ambayo hua much bigger kwenye task zake haipo custom assigned to do something.

Nikekujibu??
 
sasa kiongozi wa malaika anaongozaje ikiwa wote wapo under control!!!?
 
Inahuzunisha vijana wadogo kupata kifungo cha maisha huku wakiacha watoto wadogo bila wazazi,pia madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa nguvu kazi ya taifa.

Ingependeza mahakama ya mafisadi ipitie upya uhusika wa shamim kwenye huo uuzaji wa madawa naona kama ameingia mkenge kwa mgongo wa mumewe,aachiwe huru akalee watoto.
 
Why mahaka iwe na ufikirio wakati yeye hakuwa na huo ufikirio alipokuwa anakura maraha ya dunia while watoto wa wengine wanateseka?

Wacha watoto wao wateseke pia.
 
Back
Top Bottom