Shameless na mrisho ngasa nani zaidi?

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
102
Kwa wale wapenzi wa Soccer sote tunamfahamu Mrisho Ngassa bila shaka yoyote.
Katika hii michuano ya Challange wote mtakubaliana na mimi kwamba iz game 2 za Kilimanjaro stars zilizopita uwezo wa Mrisho na Mchango wake uwanjani umekuwa ni Wa juu sana ukilinganisha na wachezaji wengine.
Mchezaji mwingine aliyenivutia sana ni Shameless ambae nae pia pa1 nakushabihiana na Ngassa kimaumbile pia nae anao uwezo binafsi wa juu sana na ametoa burudani yaukweli kutokana na Skills zake uwanjani.
Wadau wa Soka tuwafuatilie hawa watu 2 leo ambapo game ya Kwanza ni Ethiopia vs Malawi na baadae Stars vs Burundi juu ya uwezo wao kisha tutoe Tathmini nani zaidi.
 
Back
Top Bottom