Shameful: Inside NIGERIA Female hostel at Medical School Idi Araba (LUTH)

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]

IMG-20130121-00971.jpg
IMG-20130121-00967.jpg
This is where women have their baths. Such an eyesore. Instead of spending billions on one person's home/office, i.e Sambo, the Federal Government of Nigeria should instead look into renovating and rebuilding facilities in institutions like this. Heard there's no stable light there, difficult to get water and mosquito nets at the hospital are torn. Some medical students from the school sent me the photos after seeing the ones from the police college.

wa muhimbili wakija watasema sehemu inafanana kabisa na vile vyoo vya hostelli kuanzia paramedical, nursin na graduates
 
Surely a lot of these ladies might be carrying all kind of infection with the state of these toilets!what a shame!
 
wa muhimbili wakija watasema sehemu inafanana kabisa na vile vyoo vya hostelli kuanzia paramedical, nursin na graduates

mkuu kuna mgomo ulitokeaga 2009 kuadress mambo hayo mpaka wizarani. Hiki ni kipindi ambacho na hosteli za chole zilipatikana baada ya mvutano wa muda mrefu. Walifanya marekebisho by that time ila sijui kama hali imerudi kule kule. Udsm ndo vyoo vyao viko hivi hasa main campus, ni kuchafu mpaka huwa nawaonea huruma watoto wa kike.
 
Its a wonder to realize all African governments are almost the same!
 
mkuu kuna mgomo ulitokeaga 2009 kuadress mambo hayo mpaka wizarani. Hiki ni kipindi ambacho na hosteli za chole zilipatikana baada ya mvutano wa muda mrefu. Walifanya marekebisho by that time ila sijui kama hali imerudi kule kule. Udsm ndo vyoo vyao viko hivi hasa main campus, ni kuchafu mpaka huwa nawaonea huruma watoto wa kike.

Inasikitisha sana

tatizo ni vijana hao hao wakipata vyeo badae wanasahau kabisa mateso ya uchafu na kujifanya hawajui hayo matatizo
 
Are you serious? Yaani MUHAS could look like this? Hata boarding schools zote nilizopita sijawahi ona hii. Na kwa wanawake those dirtiest buckets ever, UTI zao zinakuwa.zina mapembe!
wa muhimbili wakija watasema sehemu inafanana kabisa na vile vyoo vya hostelli kuanzia paramedical, nursin na graduates
 
Are you serious? Yaani MUHAS could look like this? Hata boarding schools zote nilizopita sijawahi ona hii. Na kwa wanawake those dirtiest buckets ever, UTI zao zinakuwa.zina mapembe!

utakua umesoma akademia
pugu kuna vyoo vya kipekee duniani, sekondari nyingine za wanaume usiseme
kuna shule nothern zone tena spesheli kuna wakati lile shimo/sink linakua na magogo ya watu hadi kumi kwa wakati mmoja
MUHAS milango ya mbao iliota kutu

wengine sasa ni wakubwa mawizarani, lakini huwezi amini... wameshasahau walipotoka

Pugu alisoma Nkapa na Juliasi, lakini wapi
 
Wanawake wa ki-nigeria ni wachafu mno kulinganisha na wanawake wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom