Shame & Sad, muelekeo wa Z’bar inakoelekea ni mbaya na kama smz heikuangalia watatunakamisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shame & Sad, muelekeo wa Z’bar inakoelekea ni mbaya na kama smz heikuangalia watatunakamisha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jun 24, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1][/h]Written by Hassan10 // 24/06/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]
  [​IMG]hali ngumu ya maisha na mzigo mzito wa Muungano.

  Hivi sasa mziko waliotubebesha Serekali ya Smz umekuwa mzito na siku
  hadi siku unazidi kutunamia, mimi nawabebesha lawama kubwa %75 viongozi
  waloko Serekalini wakiongozwa na Rais shein wanastahili kubeba lawama na
  jukumu kwa vile wao ndio washunga wetu na hawako tayari kutushirikishwa
  Wzanzibar ktk hatma ya Zanzibar inakoelekea kumezwa na kupoteza samani.
  Mimi ni mmoja ambao naungana na wezangu kuwa Muungano huu tunaokwenda
  nao ufe na tubakie nchi mbeli jirani zenye utamaduni tafauti, nasema
  hivi sio kwa kuwa sipendi Muungano no, hali ya Muungano tulionao ni
  mbaya ki-dini,kimila na kiuchumi wa Zanzibar.
  Tukija ktk Dini, hali ya Zanzibar inatisha kwa sasa,tumeletewa utamaduni
  na mila zisizo za ki-Zanzibar ambazo % 99 ya Wzanzibar ni waislamu na
  wenye mila zinazo fuata uislamu.
  Leo hii ukenda ktk Fukwe za Zanzibar utashindwa kujuwa kuwa uko Zanzibar
  au Itali Rome, ukija Mji mkongwe ndio usiseme hakusemeki utazani uko
  Manzese au sehemu zenye ushafu wa kuuzaa ..?
  Hili loto ni jukumu la viongozi wetu wa smz 75% wao ndio wakuwalaumu
  kutokana na kuwa na nyuso mbili na ubabe wao mkubwa tukandamiza na
  kuzidisha hazabu kwa Wzanzibar kutatua hatma ya nchi yao.
  Kila penye fursa ya Wzanzibar kushikamana na kujikombowa ktika minyororo
  ya ukoloni wa Tanganyika ndio viongozi wetu huzidi kujipendekeza na
  kuwa watifu kwa Tanganyika na kushindwa kuisimamia Zanzibar kiuzalendo,
  hubakia kulinda na kudumisha itikadi za chama huku Zanzibar na
  Wazanzibar wakizidi kunakamia kwa umaskini na kupoteza muelekeo wa
  ki-Zanzi cha Zanzibar katika dini.
  Kama kweli viongozi tulio wakabidhi nchi wanataka kuvunja Muungano na
  Zanzibar kuwa huru na kujiamulia mambo yake wenyewe basi mimi nasema
  Baraza la Uwakilishi wanaweza , na nikitu cha dakika tano tu, ikiwa
  Wawakilishi watasema kuwa Muungano basi basi hakuna wakuwalazimisha
  kwanguvu.
  Muungano sio kulazimishana nirizaa za pande mbili mmoja akisema basi
  inamana basi,lakini still viongozi wetu ni wanafiki na Muungano upo
  Zanzibar sio tena kwa ridhaa bali kwa kufosiwa na viongozi wetu wa smz
  kujipendekeza Tanganyika na kuhisi riski zao zinatoka Bara.
  Wanao sema kuwa tusiwalaumu viongozi wetu wa Smz na wao niwanafi vile
  vile,ikiwa wao ngoma imekuwa mzito kwao au wanaoneleana haya na
  Tanganyika kwa nini suala la hatma ya Zanzibar lisirudishwe kwa
  Wzanzibar wenyewe wakapiga kura ya maoni kuamua hatma ya nchi yao?.
  Lakini viongozi ni wanafi na wamekumbatia sana chama kwa maslahi yao
  binafi, kuna vituko vingi na viroja viongozi wetu wanavyo tufanyia,
  kwanza masuala makubwa ya mamuzi ya Wzanzibar huyakwepa kuwapelekea
  Wzanzibar wenyewe na Baadae hubabaisha na kuingiza ubaguzi.
  Jengine ni inapo onekana dalili kwa njia hii au nyingine ya Zanzibar
  kuhujumiwa au zururiwa hutokezea fisadi kwa kulinda maslahi yake binafsi
  , hujipendekeza Tanganyika kwa shabaha ya kuiasiri Zanzibar.
  Mifano iko mingi tu yakuwalaumu viongozi kutokana na uzaifu wao na ndio
  wakashezewa na W-Tanganyika na wakatunakamiza ss na Zanzibar kwa ujumla.
  hivi sasa kuna jungu linapikwa kuhusu Mswada wa Katiba? Zanzibar
  inasimama kama Zanzibar Tanganyika inasimama kwa jina gani? Tanzania?
  jee hii ni haki Tanganyika kuvaa Koti la Tanzania? ni lini au siku gani
  kuskia Wawakilishi wetu au SMz kusema Tanganyika irudi?.
  Kikubwa huambiwa Tudumishe na tulinde Muungano wa Tanzania na Zanzibar?
  jee Wzanzibar nipumba au wajinga kiasi gani kubadilishiwa kibao?tutafika
  wakati tutashekwa ktk ushirika wetu wa Muungano kuandikiwa Reciet kwa
  mshirika lakuwa sie.
  Mungu tubakiri na uwaangamize wenye zamira mbaya na Zanzibar
   
Loading...