thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 528
- 227
Watu 51 wamethibitishwa kufariki katika shambulio la risasi huko marekani katika club moja ya mashoga ya usiku huko florida orlando marekani.omar mateen ndio mshukiwa na amefariki wakat wa majibizano ya risasi,baba wa omar amesema hilo tukio lisihusishwe na ugaidi ila mwanae amefanya hivyo kwakuwa anachukia ushoga