Shambulio la kifikra

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
318
247
U hali gani ? matumaini yangu ni kwamba u mzima wa afya.Tukiachana na mambo yanayotokea na vimbwanga vya watu maarufu na wenye vyeo na mamlaka duniani,ninaomba uchukue muda wako kujitathmini wewe mwenyewe sasa . Maisha yamekuwa na miangaiko mingi sana kiasi kwamba wengi wetu tunapatwa na mifadhaiko na mshuko ya mioyo ,hii ni kwa sababu akili zetu zinaendeshwa na teknolojia ambayo hatuwezi kupambana nayo , labda ninaenda haraka lakini ninaomba ufikiri jinsi ambavyo jinsia ya kike (80%) wanavyopambania kupata likes na comment nyingi mitandaoni kwa kupiga picha tata zinazoacha maumbile yao wazi ,wanachukua video za faragha na kuzivujisha mtandaoni inawezekana umejiuliza kwanini haya yanatokea .

Jibu ni kwamba ,asilimia kubwa baada ya kutumia mda mwingi mtandaoni atakama ni masaa matatu kwa siku ,unatengeneza hamu yakujua kilichotokea matandaoni ,ivyo inawezekana ukarudi tena na tena mtandaoni .Mitandao mingi mikubwa inapata pesa zake kwa nguvu na kwa kuwaharibu watumiaji kisaikolojia ,unaweza ukachapisha katika mtandao husika wa kijamii,utapewa idadi ya watu walioliona pia unapewa option ya kui boost hiyo post kwa kiasi fulani cha pesa say 2$ ,katika watu 2M wenye shambulio la kiteknolojia yawezekana watu 800K wakatuma fedha zao . Unaweza ukawacheka lakini hata wewe ulipo kila unapozidi kuendelea kutumia hii mitandao bila kuwa na elimu ya jinsi ya kuitumia utaingizwa kwenye mkenge.

Kuna baadhi ya sites za dark web ambazo kuna video za kuogofya za mauaji ya watu kwa majambia makubwa ,damu zinachuruzika na watu kukata roho kwa maumivu makali ,yawezekana nawe ni mdau mkubwa wa sites hizo ,lakini cha kujua ni kwamba hata useme kwamba unachokiona hutokifanya, kidogo kidogo utaanza kuona kwamba wanaochinjwa maumivu yao ni madogo ,hivi hapa kweli ujawa mnyama kweli?

Miaka michache iliyopita iliwahi rekodiwa video ikimuonesha kijana aliyekuwa anatamba kuwafanyia mauaji wenziwe ,ilionekana jambo la utani lakini baadaye mauaji yakatokea ,unaweza jiuliza alipata wapi ujasiri kujitangaza mtandaoni ? Jibu ni kwamba alipata shambulio la kifikra lililompa nguvu(energy) yakujiona kama ana uwezo wa kufanya chochote.

#Shambulio la kifikra kwenye video za kingono.
Yawezekana kabla haujaanza kuwa mdau mkubwa wa video hizo uliziona ni najisi,uchafu na zisizo na staha yoyote ,lakini sasa umeshaingia mzima mzima unatumia mda wako kuzitafuta na kuziangalia kwa siri lakini baada ya kumaliza unaona ni jambo la kijinga ,lakini utarudi tena na tena kuangalia, unaweza ukatubia zambi nyingi lakini hii utaipamba na kuitafutia manukato kuipamba,ukitoa sababu kadha wa kadha kama kujifunza staili mpya za tendo la ndoa na mengine mengi .Sina mengi ila ni kwamba una shambulio la kifikra.

#Ushoga na mapenzi kinyume na maumbile katika video za ngono.

Hili ni suala ambalo linaingia katika nchi nyingi duniani kwa kasi kwani kupitia video za ngono watu wanaanza hushiriki mapenzi kinyume na maumbile wengi uona ni kawaida ,na wimbi la watu wengi limetumbukia katika kadhia hii .

#Tamthiliya na ushoga
Baada ya teknolojia kukua kwa sasa tamthiliya nyingi za kigeni zinaangaliwa na wa Tanzania wa rika tofauti, kunazo za ki filipino ,kikorea na nyingine nyingi ,baada ya kukumbwa na ushoga kwao huko ughaibuni wameona hata katika tamthiliya zao watumie platform hizo kuueneza ushoga huo ,,kwa tamthiliya chache nilizowahi kuziangalia kunayo Be My Lady kuna kijana mmoja rafiki wa Pinna alikuwa na tabia zakike kutokana na kuzipenda tamthiliya hizo wengi wanajitumbukiza kwenye ushoga na mapenzi ya kinyume cha maumbile.

Next time nitakuja na therapy yake.

NIGHT TIME MY TIME
 
UKWELI MCHUNGU...TUPE MADINI MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nexttimenangoja therapy mkulu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom