Shambulio la Israel nchini Syria - Wairan Wapoteza Maisha

Hata ikiwaje siwezi kujidharau uwafrika wangu
Siwezi kujilaumu. Kwani kukosea ndiyo kusonga mbele kukata tamaa ni mwiko
Mtu mweusi atafika tu akijiamin yeye mwenyewe
Kila mtu aplay part yake!
Maana kila mtu anakipaji chake
Sio kujidharau na kujitamkia mambo ya kushindwa
MDOMO UNAUMBA NA MAWAZO PIA
BADILISHA MAWAZO YAKO NA MAISHA YAKO YATABADILIKA
JITHAMINI MWAFRIKA
HAMNA PA KUKIMBILIA
AFRIKA NI YETU
Tulia wewee mzalendo uchwara
 
Si kweli,waafrika ndo WAJINGA namba moja bora arabs.
Kuanzia watawala had wapiga kura wa kiafrika.
Ukitaka kuamink tafuta video ya prof Carbood wakat akiwa mjumbe wa tume ya katiba na sasa
Au mh pole pole katika bunge la katiba na sasa utacheka mkuu uzimie
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom