Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,795
- 13,034
Hilo Shamba lina acid ya kutosha.Lipo Kijiji Cha matiganjola
Ktk kata ya ikuna wilayani njombe mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 20
Kutoka njombe mjini ni umbali wa kilomita 20 tu
Kuna chanzo Cha maji karibu
Gari linafika mpaka shambani
Bei ni tsh 600000 kwa eka
Lina limika kwa ng'ombe au trekta
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024View attachment 1705649View attachment 1705650View attachment 1705651
PH iko low sanaaa.
Dalali unauza eka 600k wakati huku Iringa napata kwa 200k...
Dalali unamnyima mwenye Shamba wateja.
#YNWA