Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by deusgogomoka, May 31, 2012.

 1. d

  deusgogomoka Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu inatwa Miswe (mwembe duka) unaingia ndani mita 500 tu. Ni barabara ya gari ambayo inaenda shambani na imechongwa kwa madhumuni hayo. Kwenye shamba kuna vitu vifuatavyo.Migomba mingi sana.Mikorosho zaidi ya 100.Kuna nyumba ya udongo yenye bati ina vyumba 4 (iko katika hali nzuri sana) kwa mtu kuishi.Kuna banda kubwa la mbuzi amabalo linachukua mbuzi zaidi ya 100.Limelimwa mihogo ekari 5.Kuna bonde zuri linatoka ruvu ambalo linafaa kwa kilimo cha mpungaKama ni mnunuzi tafadhali wasiliana na mimi kwa namba 0759982831/0773194946 au kwa barua pepe deusgogomoka@gmail.comKama ni mkulima na mfugaji utafurahi kwani ardhi ina rutuba na hali ya hewa nzuri. Karibuni sana.Sababu ya kuuza ni mmiliki kuhamishiwa kikazi mtwara.

  Bei ni Tshs 700,000/= kwa ekari ila maelewano yapo kulingana na malipo yatakavyofanyika mfano awapi ngapi za malipo (hazitakiwi kuzidi mbili), n.k.
  Bei nimeshusha toka laki 9 hadi laki 7. Mkishindwa hapo tena jamani sijui niseme nini tena.
   
 2. s

  sithole JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu ingekua vyema kama ungeweka na bei,ili vidume vijitutumue!
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Lina ekari 50 halafu limelimwa mihogo ekari 56 is it possible?.
   
 4. d

  deusgogomoka Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo zilikuwa namba ambazo ziliunganika baada ya kupost. waweza kurudia kusoma
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wekaa bei mangi, ili tujipime uwezo na kukupunguzia simu
   
Loading...