Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

deusgogomoka

Member
May 31, 2012
13
3
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu inatwa Miswe (mwembe duka) unaingia ndani mita 500 tu. Ni barabara ya gari ambayo inaenda shambani na imechongwa kwa madhumuni hayo. KwEnye shamba kuna vitu vifuatavyo1.Migomba mingi sana2.Mikorosho zaidi ya 1003.Kuna nyumba ya udongo yenye bati ina vyumba 4 (iko katika hali nzuri sana) kwa mtu kuishi4.Kuna banda kubwa la mbuzi amabalo linachukua mbuzi zaidi ya 1005.Limelimwa mihogo ekari 56.Kuna bonde zuri linatoka ruvu ambalo linafaa kwa kilimo cha mpungaKama ni mnunuzi tafadhali wasiliana na mimi kwa namba 0759982831/0773194946 au kwa barua pepe deusgogomoka@gmail.comKama ni mkulima na mfugaji utafurahi kwani ardhi ina rutuba na hali ya hewa nzuri. Karibuni sana.Sababu ya kuuza ni mmiliki kuhamishiwa kikazi mtwara.
 
we mtu unaleta utapeli hapa, shamba lina ukubwa wa ekari 50, halafu limelimwa mihogo ekari 56??? kivipi na bado kuna nyumba, banda la mbuzi na nini sijui!!!!
mwambie alibebe aende nalo mtwara
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom