Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,060
- 281
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami iendayo Makao Makuu ya Wilaya ya Bagamoyo. Ni karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa. Kuna barabara nzuri na bonba la maji ya Dawasco limepita jirani. Lina mimea michache ya miti ya asili kama vile Mipingo n.k Shamba hili limegawanywa katika maeneo madogo madogo kadiri ya mahitaji ya mtu. Barabara za kuingilia kila eneo kwa gari zipo. Kwa anayehitaji eneo lote au sehemu ya shamba hilo awasiliane name kupitia aliyekupa maelekezo haya. Bei tshs 2mil mpaka 3mil kwa kipande .
Kwa ufafanuzi piga simu 07171114409.
NOTE: Kerege ni kijiji cha tatu kutoka Bunju.
Kwa ufafanuzi piga simu 07171114409.
NOTE: Kerege ni kijiji cha tatu kutoka Bunju.