Shamba Morogoro lenye Ukubwa wa HEKARI 20 Kwa SH 2,200,000 TU

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).

Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa maana halijawahi kupandwa mazao yeyote). Eneo Husika (Kinonko) Ni Maarufu kwa Kilimo cha Mahindi, Ufuta na Alizeti.

Shamba Halipo Tambarare kabisa na halina Mlima Mkali... Kuna Kaslop kadogo tu.

Kinonko ipo Mkoa wa Morogoro, Ni KM 18 kutoka Barabara kuu ya lami iendayo Morogoro (njia inayopita Ngerengere-Kuna kambi ya jeshi maarufu sana). Km hizi 18 ni kama Umekatia kona Bwawani, na Kutokea Mikese ni km23 tu. Barabara Imechongwa vizuri na inapitika bila matatizo mpaka shambani.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714881500.
 
Ekari 20 kwa 2.2M ni pakubwa sana,utapata watu.Wengine ni vile tuko pande za mbali sana na huko.
 
Mi mwenyewe naishi Dar na Huwa naenda mara kwa mara, Sio mbali sana.
 
Mkuu usikute unauza eneo la jeshi kwa TZS 2.2M , manake ukimya wa mejeshi yetu umepelekea watu wengi kujimilikisha maeneo ya jeshi na kuleta tafrani pale mabomu yanapolipuka. Mfano mzuri ni mabomu ya mbagala. Usinichukie lakini, natoa tu angalizo kwa mnunuzi
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).

Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa maana halijawahi kupandwa mazao yeyote). Eneo Husika (Kinonko) Ni Maarufu kwa Kilimo cha Mahindi, Ufuta na Alizeti.

Shamba Halipo Tambarare kabisa na halina Mlima Mkali... Kuna Kaslop kadogo tu.

Kinonko ipo Mkoa wa Morogoro, Ni KM 18 kutoka Barabara kuu ya lami iendayo Morogoro (njia inayopita Ngerengere-Kuna kambi ya jeshi maarufu sana). Km hizi 18 ni kama Umekatia kona Bwawani, na Kutokea Mikese ni km23 tu. Barabara Imechongwa vizuri na inapitika bila matatizo mpaka shambani.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714881500.
 
Mkuu usikute unauza eneo la jeshi kwa TZS 2.2M , manake ukimya wa mejeshi yetu umepelekea watu wengi kujimilikisha maeneo ya jeshi na kuleta tafrani pale mabomu yanapolipuka. Mfano mzuri ni mabomu ya mbagala. Usinichukie lakini, natoa tu angalizo kwa mnunuzi

No comment. Maneno uliyoandika yanajitosheleza na kukutambulisha wewe ni Mtanzania wa aina gani. Pole sana.
 
Nauza Shamba Lenye ukubwa wa hekari 20 kwa shilingi Milioni Mbili Na Laki Mbili tu (2,200,000/=).

Shamba Lipo KINONKO. Limeshasafishwa mara moja, kwahiyo sio msitu lakini Halijawahi kulimwa (kwa maana halijawahi kupandwa mazao yeyote). Eneo Husika (Kinonko) Ni Maarufu kwa Kilimo cha Mahindi, Ufuta na Alizeti.

Shamba Halipo Tambarare kabisa na halina Mlima Mkali... Kuna Kaslop kadogo tu.

Kinonko ipo Mkoa wa Morogoro, Ni KM 18 kutoka Barabara kuu ya lami iendayo Morogoro (njia inayopita Ngerengere-Kuna kambi ya jeshi maarufu sana). Km hizi 18 ni kama Umekatia kona Bwawani, na Kutokea Mikese ni km23 tu. Barabara Imechongwa vizuri na inapitika bila matatizo mpaka shambani.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714881500.

shamba bado linapatikana?
 
Back
Top Bottom