Shamba lipo Mlandizi-Dar-es-Salaam lina ukubwa wa hekari 45 linauzwa milioni 400

Njalaliko

JF-Expert Member
May 9, 2016
483
2,000
Liko 10Kms kutoka Morogoro Rd
.
Lina nyumba za kisasa 5, kuku wa mayai, ng'ombe watatu, mbuzi, mabwawa matatu ya kisasa moja lina samaki Sato, mashine za kusaga.
.
Ekari 2 miti ya mikaratusi, ekari mbili na nusu tena kumepandwa miti ya mitiki.
.
Na vingine tele, siwezi kuandika vyote hapa
.
Price: TZS. 400m
.
Call: 0719 143475
IMG-20190813-WA0080.jpeg
IMG-20190813-WA0074.jpeg
IMG-20190813-WA0073.jpeg
IMG-20190813-WA0072.jpeg
IMG-20190813-WA0069.jpeg
IMG-20190813-WA0090.jpeg
IMG-20190813-WA0089.jpeg
IMG-20190813-WA0079.jpeg
IMG-20190813-WA0081.jpeg
IMG-20190813-WA0068.jpeg
IMG-20190813-WA0070.jpeg
IMG-20190813-WA0077.jpeg
IMG-20190813-WA0083.jpeg
IMG-20190813-WA0082.jpeg
 

Attachments

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,897
2,000
Liko 10Kms kutoka Morogoro Rd
.
Lina nyumba za kisasa 5, kuku wa mayai, ng'ombe watatu, mbuzi, mabwawa matatu ya kisasa moja lina samaki Sato, mashine za kusaga.
.
Ekari 2 miti ya mikaratusi, ekari mbili tena mikorosho.
.
Na vingine tele, siwezi kuandika vyote hapa
.
Price: TZS. 400m
.
Call: 0719 143475 View attachment 1180471 View attachment 1180473 View attachment 1180474 View attachment 1180475 View attachment 1180478 View attachment 1180479 View attachment 1180481 View attachment 1180483 View attachment 1180485 View attachment 1180487 View attachment 1180489 View attachment 1180491 View attachment 1180494 View attachment 1180495
Mikopo ni shida mtu kawekeza vizri analazimika auuze mwenyewe ili abakize kiasi....ma benki ya Tz niwafilisi tu hana msada
 

Njalaliko

JF-Expert Member
May 9, 2016
483
2,000
kwa wakazi wa Dsm mara nyingi huwa tunasahau kibaha, chamazi, mlandizi kama haziko Dsm, ahsante kwa kunirekebisha mkuu na *NAOMBA MODS WANIBADILISHIE HAPO KWENYE TITLE ISEME PWANI NA SIO DSM*
 
Top Bottom