Shamba linauzwa

UGORO87

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
824
382
Shamba la ukubwa wa ekari 200 linauzwa lipo mugumu serengeti linapakana na hifadh ya serengeti.eneo hilo inafaa kwa ujenzi wa hotel ya kitalii shule napia hata kwa kulima pia
 
Shamba la ukubwa wa ekari
200 linauzwa lipo mugumu serengeti linapakana na hifadh ya
serengeti.eneo hilo inafaa kwa ujenzi wa hotel ya kitalii shule napia
hata kwa kulima pia

Linauzwa kwa bei gani? Je lina document gani za umiliki? Wanyama wanaingia katika eneo? Kuna mito au mabwawa ndani yake?
 
hahaha looh hifadhi inauzwa huku

amesema inapakana na hifadhi na cyo hifadhi,pia mashamba yanayopakana na hifadhi huwa wanaonunua ni wanaojenga hotel za kitalii napia taasisi km shule.nimeona mfano huo kwenye mashamb yaliyopakana na hifadh ya ngorongoro na manyara.
 
Linauzwa kwa bei gani? Je lina document gani za umiliki? Wanyama wanaingia katika eneo? Kuna mito au mabwawa ndani yake?

Hivi wanyama pori huwa hawapati kichaa kama tulivyozoea kusikia kichaa cha mbwa!!. Najaribu kupiga picha siku Tembo akipata kichaa. Siku moja pale Idodi Iringa, tembo walikwenda kijijini kufuata maji baada ya dimbwi lao kukauka,kilicotokea imebaki historia.
Serikali huwa wanasogeza mipaka kiaina, hapo vipi?
 
Shamba lina document zote eka moja milion 6,zimebaki eka 62,

Uzuri wa mashamba/viwanja vya jinsi hii ni kwamba wanaonunua wenyewe huwa hawakai pale,wanawaachia wengine kukaa na kufanya kazi hapo. Kuna siku mtoto wa Kizungu aligeuzwa asusa kule mitaa ya kaskazini, sijui ile kesi iliishia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom