Plot4Sale Shamba linauzwa Njombe

Frank Nzota

Member
Jul 23, 2021
12
5
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa ekali 350.

lipo mkoa wa Njombe tarafa ya Lupembe Kijiji Cha lwanzali namiundombinu kama maji yapo yakutosha na linafaa kwa kilimo chochote like.kwa mawasiliano piga 0763165384 au 0719655616.

IMG_20210723_105651_818.jpg

View attachment 1920596View attachment 1920598View attachment 1920599View attachment 1920597
 
Weka na bei ya shamba lote, au hata kwa heka. Pia ungeonesha na hivyo vyanzo vya maji, ingependeza zaidi kuwavutia wawekezaji.

Lakini pia ungetaja baadhi ya hayo mazao mfano miti ya pines, parachichi, vanila, nk.
 
Mlima wote umezungukwa na mto mkubwa wa maji na linafaa kwa kilimo palachichi,miti yambao nk na Bei ni laki moja na nusu (150,000)kwa ekari moja
 
Shamba linafaa kwa kilimo Cha palachichi,miti yote ya mbao,nakilimo chote Cha umwagiliaji linafaa na maji yapo ya kutosha Bei ni lak moja na nusu kwa ekali moja
 
Shamba linafaa kwa kilimo Cha palachichi,miti yote ya mbao,nakilimo chote Cha umwagiliaji linafaa na maji yapo ya kutosha Bei ni lak moja na nusu kwa ekali moja
Lina hati au ntanyanganywa badaye na serkali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom