Shamba linauzwa Mvumi

W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,184
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,184 2,000
Shamba lina ukubwa wa hekari 8 na linauzwa kwa bei ya milioni tatu (m 3)
Linafaa kwa mpunga tu labda kama kiangazi utabuni mazao ya muda mfupi kama yebo yebo. NI kwasababu maji mengi sana. Eneo kubwa tumefyeka na tumelima mpunga. Liko pembeni kabisa ya mto yaani mto ndio mpaka hivyo hukooso mpunga.

Changamoto
Inafaa anaenunua aweke mtu aishi jirani na shamba au mwenyewe ahamie huko.
Mengine nitaongea na watakaonesha nia

Sababu za kuuza
Nina mashamba mengine Kisarawe nimeshindwa kujigawa.
Mpunga mimi sio mtaalam mara nyingi nimekuwa na patner na watu wengine.
 
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
328
Points
225
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
328 225
Shamba lipo maeneo gani???
Toa ramani vizuri mkuu
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
1,184
Points
2,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
1,184 2,000
Shamba lipo maeneo gani???
Toa ramani vizuri mkuu
Poa nitakuwekea ramani ila Kama unaenda Dodoma, unatelemka Dumila. Pale Dumila unapand Noah Mpaka Mvumi.
Mvumi pale sasa ndio inabidi uchukue pikipiki kwenda shamba kama huna usafir unaenda mpaka magereza palei.

Il hili ni eneo flat sana kama kiwanja cha mpira halafu ni kubwa na kuna mashamba mengi n shamba langu liko hapo hapo.

Kama huna mtu wa kukaa huko shamba au unataka uwe unalima kwa kukaa mbali na kutembelea nakushauri achana nalo. Inatakiwa mtu wa shamba akae huko atapata mpunga.
 

Forum statistics

Threads 1,342,749
Members 514,794
Posts 32,762,768
Top