Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

SHAMBA ZURI LINALOFAAA KWA KILIMO CHA MATUNDA AINA YA PARACHICHI AU MITI YA MBAO LINAUZWA
Linapatikana Kijiji Cha matiganjola ktk kata ya ikuna mkoani njombe
Ni umbali wa kilomita 20 tu Toka njombe mjini
Lina ukubwa wa eka 20
Bei ya kila eka ni tsh 600000/= (laki sita tu)
Maji yanapatikana kwa karibu Kama unataka kilimo Cha umwagiliaji
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024
IMG-20210418-WA0005.jpg
IMG-20210418-WA0006.jpg
 
Shamba linauzwa katika Kijiji cha Mfriga tarafa ya Lupembe mkoani Njombe

Linafaa kwa kilimo Cha matunda aina parachichi, miti ya mbao n.k

Lina ukubwa wa eka 470 (Mia nne sabini)

Bei ya kila eka ni 130000 (laki moja na elfu thelathini)

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 na WhatsApp number 0764426929


IMG-20210517-WA0067.jpg
 
Hilo Shamba lina acid ya kutosha.
PH iko low sanaaa.

Dalali unauza eka 600k wakati huku Iringa napata kwa 200k...

Dalali unamnyima mwenye Shamba wateja.

#YNWA

Natafuta ekari 2400 zilizopo sehemu moja kwaajili ya kilimo cha parachichi bei isizidi 40$ per acre kwasababu nachukua nyingi
 
Natafuta ekari 2400 zilizopo sehemu moja kwaajili ya kilimo cha parachichi bei isizidi 40$ per acre kwasababu nachukua nyingi
Kwa bei hii..
Hiyo hela kaa nayo tu, FANYA MENGINE.

The lowest price is 250,000/= per Acre

Ila pia wewe ni muwekezaji mkubwa tembelea ofisi za halmashauri.

#YNWA
 
Hivi unajua kuwa "apart from" janga la moto lililolikumba hilo Shamba, hivi unajua LINA ACID NYINGI..???
Atakae nunua akitaka KUTOBOA kwenye Parachichi basii Chokaa mazao ina kuhusu hasa.

Sasa how are you balancing gharama za Chokaa mazao?

#YNWA
Ahsante sana kwa taarifa muhimu
 
Lina ukubwa wa eka 100
Bei ya kila eka ni TSH 150000( laki moja na nusu tu)
Kuna mto mkubwa ktk eneo hilo
Linafaa kwa kilimo Cha matunda Aina ya parachichi,miti ya mbao n,k
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 na Whatsapp namba 0764426929

IMG-20210517-WA0062.jpg
 
Lipo Kijiji cha wanginyi, kata ya Matembwe ktk tarafa ya Lupembe
Lina ukubwa wa eka moja na nusu
Miti Ina umri wa miaka mitano Toka ipandwe
Bei ya ardhi pamoja na miti hiyo ni TSH 1900000 ( milioni moja na laki tisa)
Aina ya miti iliyopandwa ni pine
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 na Whatsapp ni 0764426929.

IMG_20210707_175253_307.jpg
IMG_20210707_175158_702.jpg
IMG_20210707_175140_383.jpg
 
SHAMBA LA PARACHICHI LINAUZWA

lipo Kijiji Cha igombola ktk kata ya lupembe,wilaya ya njombe mkoani njombe.

Lina ukubwa wa eka 20 (ishirini tu)

Parachichi Zina mwaka mmoja Toka zipandwe

Shamba limekosa matunzo

Barabara inafikika kwa gari mpaka shambani

Limepakana na mto Kama unahitaji kilimo Cha kumwagilia

Bei ni TSH 450,000 kwa kila eka na linauzwa kwa eka zote ishirini kwa pamoja

Kwa masiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 na Whatsapp 0764426929

IMG_20210709_115827_159.jpg
IMG_20210709_115801_345.jpg
IMG_20210709_115540_023.jpg
IMG_20210709_120452_526.jpg
IMG_20210709_113620_793.jpg
IMG_20210709_113359_186.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom