Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

Lina ukubwa wa heka 5
Lipo Kijiji cha Itambo katika tarafa ya Lupembe mkoa wa Njombe
Linauzwa Tsh milioni 4 na laki 5
Shamba limelimwa
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846,0784340024 au WhatsApp number 0764426929
IMG_20200329_105120_7.jpeg
IMG_20200329_104745_9.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na miche inauzwaje? Je acre inaingia miche mi ngapi? Inachukua miaka mi ngapi kuanza kuvuna. Ukiweza kunisaidia hayo majibu, ntakutafuta
 
Wakulima wengi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Big 4/5) walishakata tamaa ya kilimo cha miti na maparachichi kwa sababu hakuna masoko. Wengi wameishia kuwa maskini na miti maparachichi yanaozea mashambani. Wizara ya Kilimo imeshindwa kabisa kuwasaidia Wakulima
 
Miche ya parachichi ni tsh 2500/=
Mche wa miti ya mbao ni tsh 100
Kwenye shamba la parachichi inaingia Miche 70
Na shamba la miti ya mbao inaingia Miche 500 Hadi Miche 625
Miparachichi inaanza kuvuna baada ya miaka mitatu
Miti ya mbao unaanza kuvuna baada ya miaka 6 Hadi kumi
Mkuu na miche inauzwaje? Je acre inaingia miche mi ngapi? Inachukua miaka mi ngapi kuanza kuvuna. Ukiweza kunisaidia hayo majibu, ntakutafuta
 
Sio kweli hata Mimi ni mkulima na sijakata tamaa
Wakulima wengi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Big 4/5) walishakata tamaa ya kilimo cha miti na maparachichi kwa sababu hakuna masoko. Wengi wameishia kuwa maskini na miti maparachichi yanaozea mashambani. Wizara ya Kilimo imeshindwa kabisa kuwasaidia Wakulima
 
Yapo ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe mpakani na morogoro
Bei ya kila eka ni tsh laki moja (100000)
Yamezungukwa na vyanzo vya maji

Hivyo yanawezekana kufanyika kilimo Cha umwagiliaji
Zinapatikana takribani eka 3000
Kwa makampuni au watu binafsi wanaotaka kuwekeza ktk kilimo Cha parachichi hii ni furusa Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0742188846 na 0784340024

IMG_20201107_125527_3.jpeg
 
Mmh shamba laki 1/ eka? (Kununua)? Hapa naona mtu anaenda kutapeliwa mchana peupe. Tena utaambiwa tuma kwa namba hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom