Shamba linauzwa lipo Mlandizi-Kibaha

ngogo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
359
54
Shamba lipo Mlandizi, Bagamoyo road, shamba lina mikorosho, minazi na miembe, lina ukubwa wa ekari 15, gari linafika mpaka shamba lipo karibu na makazi ya watu mawasiliano 0717000990/0764434673 au majutongozi@gmail.com
 
Shamba hilo lipo Mlandizi barabara ya Bagamoyo, lina ukubwa wa hekari 15 lina mikorosho na minazi lipo jirani na makazi ya watu, gari linafika mpaka shamba, bei maelewano, wasiliana nami: 0717000990/ 0764434673 au majutongozi@gmail.com
 
Watu wanahitaji kujua bei kabla ya kupoteza vocha zao kukupigia, au mtu akikubip we ndo utapiga kwa kuwa una shida ya pesa?
 
Shamba hilo lipo Mlandizi barabara ya Bagamoyo, lina ukubwa wa hekari 15 lina mikorosho na minazi lipo jirani na makazi ya watu, gari linafika mpaka shamba, bei maelewano, wasiliana nami: 0717000990/ 0764434673 au majutongozi@gmail.com

Maeneo gani? Dawasa,? kwa Kanesa? Miswe?
 
Bei ni milioni 2 kwa hekari, halafu sihitaji promota majalala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom