Shamba hilo lipo MLANDIZI Bagamoyo road, hekari 15 kila hekari ni Tsh 2,000,000/ lina mikorosho, miembe na minazi kwa maelezo zaidi piga 0717000990 au 0764434673 au majutongozi@gmail.com
taja jina la kijiji na kata
bila kusahau mjumbe wa nyumba kumi balozi na diwani wa hilo eneo usije uka2ingiza mjini bure
Na simu zao pia
huyu anataka kutuingizi mjini!!!Mlandizi bagamoyo road???? wapi huko jamani...Taja jina la kijiji..