Shamba linauzwa...kigamboni

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
16,495
17,367
Farm located at Kigamboni Potea 52 Km from Ferry.
Not affected by Kigamboni master plan i.e the last expected developed area is Kimbiji which is 16 Km from the farm location.
Farm size is 26 hectares. Not surveyed….has Village documents
Contact call 0783711105
 
Hapa siyo mahala pake. ipeleke Matangazo madogo dogo!!
 
Farm located at Kigamboni Potea 52 Km from Ferry.
Not affected by Kigamboni master plan i.e the last expected developed area is Kimbiji which is 16 Km from the farm location.
Farm size is 26 hectares. Not surveyed….has Village documents
Contact call 0783711105
Aisee embu niletee jina la mhusika kwenye Pm ,take it very serious,na pia namba ya kitalu ikiwezekana usichelewe sana maana hela haikai !
 
Kigamboni then km 52 hakuna jina lake huko? hata hivyo tunashukuru japo si sehemu yake hii
 
sawa Mkuu lakini Kigamboni tumeshatonywa kuwa patakuwa Dar City Center na watu wameshaanza kulipwa hiyo simu ntampigia ushukuriwe nidokeze bei
 
Farm located at Kigamboni Potea 52 Km from Ferry.
Not affected by Kigamboni master plan i.e the last expected developed area is Kimbiji which is 16 Km from the farm location.
Farm size is 26 hectares. Not surveyed….has Village documents
Contact call 0783711105

mkuu... umekaa kibiashara zaidi... kazi njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom