Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi (10) linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi kijiji cha pili toka Bunju, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami iendayo majao makuu ya wilaya ya Bagamoyo. Ni karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa. Kuna barabara nzuri na bomba la maji ya Dawasco limepita jirani. Lina mimea michache na miti ya asili kama vile Mipingo n.k Shamba hili limegawanywa katika maeneo madogomadogo kadiri ya mahitaji ya mtu. Barabara za kuingilia kila eneo kwa gari zipo. Bei kuanzia 2mil kwa mita 20 kwa 20 mpaka 7mil kwa eka moja. Kwa anayehitaji eneo lote au sehemu ya shamba hilo awasiliane name kupitia aliyekupa maelekezo.
0717114409/0755312233/0784225000
Ondoa shaka. Havina tatizo. Hata hivyo usitoe pesa mpaka uridhike. kuna jamaa wamesoma haya matangazo wamepiga simu ya appointment wakavione jiunge nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.