Shamba linauzwa Dar es salaam

igunga99

New Member
Dec 16, 2013
3
0
Shamba lenye ukubwa wa hekari 2 lililopo Bunju B linauzwa milioni 28.Shamba lipo karibu na wahanga wa mafuriko na ni kati ya dakika 10-15 kutoka zilipo nyumba za wahanga,shamba ni tambarare na linafaa kujenga nyumba.Udalali unaruhusiwa na bei pia ni makubaliano.
 
wadau mtakao pitia huu uzi naomba niwape tahadhari maeneo yaliyotajwa na mleta mada,USINUNUE maaana manispaa ya kinondoni wameshatoa fidia wana mradi wa kupima viwanja.tuwe makini jamani,kama uamini nenda ofisi za ardhi wilayani au wizarani utaambiwa watu wameshalizwa sana hapo.
 
Asante kwa angalizo mdau....
 
Ni kweli anachosema obama wa bongo,eneo la mgogoro lipo ni kwamba watu walivamia lakini wameondolewa.Ila shamba linalouzwa halipo mahali hapo.Lipo baada ya mabwepande secondary,unapita msitu wa mabwepande unaingia kushoto,shamba linatazamana na wazo hill na pia ni karibu na mbopo secondary.Hakuna utapeli wowote kuhusu shamba hili wadau.
 
Siku hizi wanaita msitu wa kung'olea kucha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom