Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

serikali wanaweza kukupa sh 40 hadi 50 million
Mkuu eneo lipo bagamoyo mjini na pia ni maeneo ya jirani na bahari inapojengwa bandari..kwahyo thamani ya maeneo haya ni kubwa..ila ukitaka kujua zaidi ni rahis fika ofc za wizara ya ardhi bagamoyo na uliza bei elekezi ya kiwanja/shamba maeneo hayo
 
Mkuu eneo lipo bagamoyo mjini na pia ni maeneo ya jirani ma bahari inapojengwa bandari..kwahyo thamani ya maeneo haya ni kubwa..ila ukitaka kujua zaidi ni rahis fika ofc za wizara bagamoyo na uliza bei elekezi ya kiwanja/shamba maeneo hayo
Serikali wakija kuthaminisha watakupa 10000 kwa sq meter..Siunajua eneo lako halina kitu chenye thamani
 
Mkuu eneo lipo bagamoyo mjini na pia ni maeneo ya jirani na bahari inapojengwa bandari..kwahyo thamani ya maeneo haya ni kubwa..ila ukitaka kujua zaidi ni rahis fika ofc za wizara ya ardhi bagamoyo na uliza bei elekezi ya kiwanja/shamba maeneo hayo
Thamani ni kubwa ila sio kwa 290M... Uza atleast 30M ita make sense
 
Thamani ni kubwa ila sio kwa 290M... Uza atleast 30M ita make sense
Mkuu maeneo haya Serikali imesema watu wasijenge makazi maana ni eneo la mradi ndio maana unaona liko mjini ila hakuna nyumba.
Hiyo 30m ni bei ya heka moja kwa sasa
 
Back
Top Bottom