Shamba linahitajika Njombe au Makambako

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Heloooo.....! Kwa wakazi wa Makambako au Njombe, nahitaji kununua Shamba walao Ekari Moja kwa 700,000/= TSh.

Vigezo;
Walao liwe jirani na chanzo Cha maji halafu lisiwe mbali Sana na makazi ya watu. Yaani Kuwepo na uhakika wa Usafiri.

Mawasiliano; 0621538913

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom