Shamba lenye hekar 30 linauzwa mkuranga

charles mgina

Member
Feb 16, 2016
35
18
Pata shamba lenye hekari 30 linauzwa mkuranga limepimwa lina minazi zaid ya 10 mananasi na mpunga matikiti na mazao na mikorosho zaid ya 20 lipo mkuranga bei ni poa kwa zaid tuwasiliane kwa

simu 0717178455
 
Jitaidi kuweka na bei mkuu ili kila mtu ajue kwann ifanye siri
 
Pata shamba lenye hekari 30 linauzwa mkuranga limepimwa lina minazi zaid ya 10 mananasi na mpunga matikiti na mazao na mikorosho zaid ya 20 lipo mkuranga bei ni poa kwa zaid tuwasiliane kwa

simu 0717178455
linaweza kuuzwa chini ya hizo heka 30? yaani kama mtu anataka heka 5 utauza/ je heka ni kiasi gani? shamba lina hati miliki au hati ya serikali ya mtaa? shambani kuna maji japo ya kisima kama sio ya bwawa au kisima?
 
ushauri ni bora uweke bei ili watu wasisumbuke kukupigia simu au wewe kupokea simu za watu wenye hela ya chini ya matarajio yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom