SHAMBA LA MITI YA MBAO EKARI 15 LINAUZWA.

Iansr

Member
Jan 20, 2019
5
0
Habari wakuu, Nina shamba la miti ya mbao aina ya pine lenye umri wa miaka mitano lililopo Mkoa wa Kagera - wilaya ya Misenyi pembezoni mwabarabara(sehemu inayofikika kirahisi). Kwa yoyote mwenye uhitaji naomba anicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
IMG-20190119-WA0010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom