noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 263
- 204
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13.
Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa manyoni ambapo wageni mbalimbali wa kitaifa akiwepo mama yetu Makamu mkuu wa rais mama Samia Suluhu Hassan aliwahi kutembelea mradi huu wa korosho na kujionea uzur wa mashamb haya hapa manyoni.
Shamba hili lina miche yake kama picha inavyojieleza hapo chini ni shamba zuri ambalo hutojutia masmuzi yako. Mwingine atajiuliza ikiwa shamba hili ni zuri basi kwanini niliuze. Naomba kusema matatizo hayabishi hodi ili yafunguliwe bali huingia kama yalivyo.
Bei ya shamb hili ni sawa na bure mtu yeyote anayejua utajiri wa korosho bas hatoona shida kunikabidhi mil.17 kwa roho moja nimuachie shamb hili zuri lenye miche bora na mizuri kwa kubeba korosho.
Basi ikiwa uko tayari tafadhar nipigie kwa namba hizi 0766-205600.