Shamba la hekari 16 linauzwa
- lipo wilaya ya Tameke Dar es Salaam
- Amani gomvu ni mwendo wa 32km toka feri ya magogoni
- shamba lipo tambalale
- gari linafika mpaka shambani
- umeme upo umbali wa 1.km maji bado unaweza chimba kisima
- eneo linafaa kwa matumizi ya elimu . dini. viwanda , makazi ama kuedelea kuwa shamba ktk ubora na
- kila heka inauzwa 4m ,
au ni pm au thomasnelson564@yahoo.com . info@havilla.net