Shamba la ekari hamsini(50) nauza visiga mjini

mdoe the thinker

Senior Member
Dec 11, 2012
104
20
Nauza shamba la ekari hamsini lipo visiga nusu kilomita kutoka barabara kuu,lina miembe ya biashara 300,michungwa na minazi!kuna nyumba kubwa ya kuishi na servant house!liko tambalale na oevu!
Kuna kisima cha pump na matank,Bei ya eneo ni maelewano!
Mawasiliano yangu ni 0787 191 844 naitwa Mdoe!
 

Attachments

  • IMG_20131102_123002_0 - Copy (2).jpg
    IMG_20131102_123002_0 - Copy (2).jpg
    176.2 KB · Views: 95
  • IMG_20131102_123631_0.jpg
    IMG_20131102_123631_0.jpg
    197.2 KB · Views: 93
  • IMG_20131102_122512_0.jpg
    IMG_20131102_122512_0.jpg
    131.5 KB · Views: 110
  • IMG_20131102_124145_0.jpg
    IMG_20131102_124145_0.jpg
    184.4 KB · Views: 89
  • IMG_20131102_122507_0 - Copy.jpg
    IMG_20131102_122507_0 - Copy.jpg
    123 KB · Views: 75
hapana!
700 milioni naanzia,hyo ni pamoja na mali zilizopo shamabni yaani nyumba,kisima cha maji na genereta la umeme

Hebu changanua, tujuwe ekari shiliingi ngapi, minazi mingapi, mazao mengine ya kudumu mangapi, jenereta shilingi ngapi, mali zingine shillingi ngapi.

Shamba la urithi au mwenyewe yuko hai? maana kama ni la urithi tutangoja siku ya mnada.
 
hebu changanua, tujuwe ekari shiliingi ngapi, minazi mingapi, mazao mengine ya kudumu mangapi, jenereta shilingi ngapi, mali zingine shillingi ngapi.

Shamba la urithi au mwenyewe yuko hai? Maana kama ni la urithi tutangoja siku ya mnada.

are we jokin here mr. Or what?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom