Shamba kubwa linauzwa/kodishwa.

ZLATAN

Senior Member
Oct 5, 2010
150
18
Shamba kubwa la ekari 10, lipo eneo la Kibamba Kibwegere kama kilomita 5 toka barabara ya Dar - Morogoro.
Lipo karibu kabisa na mto Mpiji na ardhi yake ni nzuri kwa kilimo cha aina zote.
Pia tunakaribisha aina yoyote ya uwekezaji na manunuzi kwa offer nzuri.
Mawasiliano:
Mr. J. Temba
0713494087
0718096981

 
Niwasaidie wakuu, nimempigia simu huyo muuzaji, shamba zima anauza milioni mia tatu na hamsini (350,000,000).

Haki ya Mungu hizi bei za siku hizi??? Tunaona zimbabwe wanafaiidi.
 
Kwa bei hiyo inamaana kila ekari ni milioni thelasini na tano ( 35,000,000)! kama unashida na mashamba kwa bei ambayo ni reasonable tafadhali waulize members wafuatao: Malila, LAT, Kanyagio n.k Jamaa hawana tamaa za madalali kuweka makamisheni yao, watakupa information ambazo zitakusaidia sana kwenye issue za kilimo pamoja na ufuigaji.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom