sHAMBA HEKALI 42 LENYE HATI MILKI LINAVUZWA MISUGUSUGU

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
13
shamba lenye mazao miembe michungwa mininga kama heka 2 mikoroshn na mazan mengi pamoja na kisima cha maji cha kuchimbwa lipo umbali wa kilometa 2 toka barabara ya morogoro linauzwa Tsh 220000000 linafaa kwa uwekezaji mkubwa na mgodo kama shule au kiwanda kwa mawasiliano piga simu namba 0754286329 AU 0714973871
 
Mshalipa land rent?

hapajagunduliwa gesi hapo au yureniamu.
kama ni uwekezaji fanya wewe mbona unauelewa huo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom