Shamba, ekari 20 kwa milllioni 70, kiluvya kwa sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba, ekari 20 kwa milllioni 70, kiluvya kwa sumaye

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mrekebishaji, Apr 29, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Shamba linauzwa, kiluvya karibu na kwa Sumaya, ni ekari 20 jumla yake ni Mil 70. Lipo kilomita 9 toka barabara ya dar-morogoro.

  mawasiliano. 0784 419030
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Hilo shamba lina nini ndani yake? Toa sifa za shamba lako tafadhali.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Inaelekea kitendo cha sumaye kuwa huko ndio na bei imepanda!

  kwahiyo lina SUMAYE!
   
 4. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mgodi wa madini:smile-big:
   
 5. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  jamani pengine tatizo nimesema shamba, labda tuseme ni kiwanja. Nilipo sema karibu na kwa sumaye, lengo ni kuweka identity tu.. maana yake ni kwamba heka moja ni 3.5 mil
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Je limepimwa na lina hati??
   
 7. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  halijapimwa na halina hati. kuna ushahidi wa serikali za mitaa.
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Master plan ya Kiluvya unaijua? Hayo ndio maeneo hatari kwa sasa, je kuna shamba la jirani lililopimwa? Au kuna taasisi gani ya serikali iliyo karibu na hapo?
   
Loading...