SHAKA: Tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi CCM

Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi
Kahama Tathimini ya uchaguzi
7 Oktoba 2021

View attachment 1967003
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 
Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi
Kahama Tathimini ya uchaguzi
7 Oktoba 2021

View attachment 1967003
😍
Chama kilicho bora barani afrika.....

SIEMPRE CCM
NCHI KWANZA
 
Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi
Kahama Tathimini ya uchaguzi
7 Oktoba 2021

View attachment 1967003

Wanabisha
Sijui walitaka useme hawako tayari???
 
Shaka anakiri kwamba chini ya Magufuli CCM ilikuwa haizingatii demokrasia na haikuwa tayari kupokea matokeo ya kushindwa.
 
Back
Top Bottom