Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
Huja wahi kuwa chadema. Wewe ni kada wa ccmNATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,
mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
14|10|2021NATAKA KUHAMIA CCM WAKUU,
mimi ni chadema kitambo ila kwa sasa kwa yanayoendelea nimeamua nihamie tu CCM,
Chama na Serikali wote wananifurahisha sana na nimeridhika naweza kuishi CCM, Naombeni kadi wakuu
Hongera Chama cha Mapinduzi
System ipi mkuu?Kusema ni rahisi,ila vitendo ni ngumu maana system yote ni corrupt.........
Safi sanaKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi wote wa Kamati za Siasa kuanzia Kata, Wilaya hadi mkoa kuhakikisha hakuna senti moja ya mradi wowote wa umma|Serikali inatafunwa na aliyewaita " Mchwa " yaani majizi,
Mhe Shaka amewakumbusha Viongozi wa kamati za Siasa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndio Chama kilichopewa ridhaa na Watanzania na ndio chenye Jukumu la kuhakikisha Wananchi wanafikiwa na huduma zote muhimu kwa wakati kwani Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM ya 2020|25,Mhe Shaka amesisitiza miradi yote ya mkopo wa IMF kwa mujibu wa Serikali itamalizika baada ya miezi tisa ( 9 ) hivyo kamati zote za Siasa zifuatilie kwa Ukaribu sana miradi hii,
Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi Taifa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi hakitamvumilia yeyote atakayehusishwa na rushwa au Ufisidi wa fedha za miradi ya wananchi huku akiwataka kamati zote za Siasa kuzielekeza dola kuwafikisha michwa hao kwenye vyombo vya kisheria ikiwa ni baada ya kujiridhisha kuwako na ubadhilifu wa pesa za miradi yote zikiwemo pesa za mkopo wa TZS 1.3Trilioni toka IMF ambao Rais wetu ameupata kwa sababu tu ya imani ya Wahisani kwake na kila mtanzania atahusika kuulipa mkopo huo hivyo pesa hizo sio Sadaka zilindwe kwa wivu mkubwa,
We elewa tu kuwa system yote ni corrupt inatoshaSystem ipi mkuu?
Sio kweli lakini, Shaka sio system?We elewa tu kuwa system yote ni corrupt inatosha
Kazi Iendelee mkuu wangu 💪safi sana mkuu
😍💪14|10|2021
Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
Huyu mtu ni makini sana aise tumuunge mkono Mhe Shaka
Sitaki kuwa mnafiki. SIJI HUKO14|10|2021
Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge
Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,
Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,
_________________
Unacho shangaa ni nini?JPM mwenyewe alikua na ubavu wa kusukuma ndani majizi, kwa serikali hii sijui, ngoja tuone...
Kwanza mama hapendi ukali wala ugomvi...