Haaaa eti magari yamegongana wakati njia nzima hakuna magari yanayokuja upande wa pili.Barabara ipo ila imefungwa.mtoa post sema ukweli, mimi ni CCM. Tanzania hatuna uwanja sawa wa kisiasa. Mtu anatoka golini kwake hakutani na mkabaji yeyote, anafunga halafu, unamsifu kuwa ni mchezaji mzuri kwa kipimo gani? Mtoa post jizoeze kujiuliza maswali magumu
Hata slow slow wapo waliosema maneno kama hayo na Leo wanaongea vingine juu ya slow slow, Sasa sijui kama hawajui chawa wamefukuzwa🤔.Shaka yuko vizuri
Hatumsikii au hapewi airtime ya kutosha?Yule katibu wa uvccm ndio moto unaounguza zaidi! yule kijana n hatali! ni mchapa kazi haswa!
Hakika kabisa, Jaamaa anajitahidi mno,Ile nafasi ya Nape na Lina imeshazibwa vizuri sana na Shaka ,safi Sana.
Acha ujingamutoto ya watu...Ila Mungu bhana hawezi kukupa vyote
Kuna kitu kipya amekuja nacho kiasi Cha kuja mbio mbio Kwa kumsifia!Aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo kabisa wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa Chama cha Mapinduzi kwa kipindi kifupi tangu kuteuliwa kwake...
Tuliambiwa na mwendazake huyu jamaa ni mla rushwaAina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo kabisa wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa Chama cha Mapinduzi kwa kipindi kifupi tangu kuteuliwa kwake...
Hahahaaa! Huyu tuliyeambiwa mla rushwa?Shaka ni kiongozi mahiri sana na anaheshma kwa watu wote
Aliwapa ushahidi au ndio kama yakina Mzee Rugemalila?Tuliambiwa na mwendazake huyu jamaa ni mla rushwa