Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,

Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo la 12 Mhe Job Yustino Ndugai aliyejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni mgongano wa kimihimili baina yake na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan,

Shaka Hamdu Shaka amesesema mchakato wa upigaji kura na Uteuzi wa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi utafanyika kati ya tarehe 21 hadi 30 za mwezi January 2022,

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na katibu wa Bunge la JMT Uchaguzi wa kumpata Spika mpya utafanyika katika mkutano wa sita wa bunge la JMT tarehe 31|01|2022 na mwanachama wa Chama chochote cha Siasa chenye usajili wa kudumu kwa udhamini wa Chama chake anayohaki ya kugombea nafasi hiyo ya kuwa spika wa bunge la JMT,

Hongera sana Mhe Shaka kwa ufafanuzi mzuri
 
tuko vizuri
 
nzuri mkuu
 
Back
Top Bottom