Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

Dogo enzi hizo ulikuwa kwenu kitovuni huko Buseresere chato huwezi elewa relax.. uliza watoto wa town

Wewe ungalijua mimi nimesoma Karume primary school Magomeni kagera, niliishi pale Mikumi mtaa wa Longido Magomeni kagera karibu na Shk Yahya Hussein, nimesomea Azania sec school na pia nimeishi katikati ya jiji la Dar kwa miaka 4 (Crescent flats) mkabala na iliyokuwa Ridoch motors miaka hiyo, sasa utaniitaje dogo??!!, wewe ulikuwa wapi zama hizo??, labda pengine hata hujazaliwa!!, angalia kijana.

Lete ushahidi Huyo shk Yahya Hussein mmanyema alisema wapi hiyo kauli??
 
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,

Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo la 12 Mhe Job Yustino Ndugai aliyejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni mgongano wa kimihimili baina yake na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan,

Shaka Hamdu Shaka amesesema mchakato wa upigaji kura na Uteuzi wa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi utafanyika kati ya tarehe 21 hadi 30 za mwezi January 2022,

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na katibu wa Bunge la JMT Uchaguzi wa kumpata Spika mpya utafanyika katika mkutano wa sita wa bunge la JMT tarehe 31|01|2022 na mwanachama wa Chama chochote cha Siasa chenye usajili wa kudumu kwa udhamini wa Chama chake anayohaki ya kugombea nafasi hiyo ya kuwa spika wa bunge la JMT,

Spika anapigiwa kura ndani ya Bunge na wabunge wa Bunge la Taifa, sasa mwanachama wa chama cha upinzani ukiingia Bungeni si utakamatwa kwa kosa la ugaidi.
 
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,

Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo la 12 Mhe Job Yustino Ndugai aliyejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni mgongano wa kimihimili baina yake na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan,

Shaka Hamdu Shaka amesesema mchakato wa upigaji kura na Uteuzi wa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi utafanyika kati ya tarehe 21 hadi 30 za mwezi January 2022,

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na katibu wa Bunge la JMT Uchaguzi wa kumpata Spika mpya utafanyika katika mkutano wa sita wa bunge la JMT tarehe 31|01|2022 na mwanachama wa Chama chochote cha Siasa chenye usajili wa kudumu kwa udhamini wa Chama chake anayohaki ya kugombea nafasi hiyo ya kuwa spika wa bunge la JMT,

Shaka hajui kama CCM ina wenyewe sasa nani anataka tena wachukue fomu za ''uspuka'' chukueni nafasi zote za uongozi za CCM kama nawe ulivyobebwa na nduguyo.
 
Hapo shaka hajasema anapatika spika kwa tangazo lake bali mwanachama atayekwenda kugombea uspika kupitia ccm kwahiyo hata wewe na chama chako kile kipya ulichoanzisha na slowslow mnaweza kupendekeza jina
Kwani kishapata usajili wa kudumu?
 
Kumbe zamani ilishatabiriwa na Lema akaja kukazia? Limebaki moja hilo la 2025 upinzani kuchukua nchi.
Mabadiriko ya katiba ni lazima kwa kizazi hiki na vijacho. Tunataka katiba mpya kwanza
Upinzani kuchukua nchi gani??!
 
Upinzani kuchukua nchi gani??!
Kinachonishangaza ni pale unapokutana na mtu asiyeamini katika mabadiriko. Tawala zimekuwa zikibadirika enzi na enzi dunia nzima, kwanini ishindikane Tanzania tu?
Ipo siku hata kama si 2025, nchi hii itaongozwa na chama kingine tofauti na CCM amini mkuu.
 
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,

Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo la 12 Mhe Job Yustino Ndugai aliyejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni mgongano wa kimihimili baina yake na Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan,

Shaka Hamdu Shaka amesesema mchakato wa upigaji kura na Uteuzi wa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi utafanyika kati ya tarehe 21 hadi 30 za mwezi January 2022,

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na katibu wa Bunge la JMT Uchaguzi wa kumpata Spika mpya utafanyika katika mkutano wa sita wa bunge la JMT tarehe 31|01|2022 na mwanachama wa Chama chochote cha Siasa chenye usajili wa kudumu kwa udhamini wa Chama chake anayohaki ya kugombea nafasi hiyo ya kuwa spika wa bunge la JMT,

Shaka ni mtu anakijua vizuri Chama Cha Mapinduzi,
 
Back
Top Bottom