KennedyTanzania
Karibu CCM chama kinachoishi na watuMeno ya mbwa yameanza kuumana.
Mimi ni chadema ila kazi ya Mama ni babu mkubwa,Chagua Cherehani Ushetu,
Machadema hayana hela
CCM ndio Chama
Kwani kampeni za uchaguzi ni kusema uongo mkuu,Mimi nilikuwa nikweli KUMBE NI KWASABABU YA KAMPENI.HONGERA MLETA MADA
Chama kianzishe kitengo cha malalamiko ya wananchi Ili uonevu ukitokea waende kutoa taarifa kwenye chama alafu wahusika wachukuliwe hatua.
View attachment 1968332Shaka huyu komando naye ana watoto na familia. Mwambie Siro amrudishe.
Ni kweli anastahili uwaziri wa ujuha mkuu, sio huyo tuu hata Kingai na Mahita wanastahili uwaziri huko Lumumba buku7.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
😍😍😍 Wanatia huruma sana hawa magaidiChadema mnatia huruma
😍😍😍 jamaa kala kondoo wote pale CDMUmenena vema sana mkuu wangu,
Viongozi wa chama watakaopitia hapa wataliona
😍😍😍 CCM CHAMAKwani kampeni za uchaguzi ni kusema uongo mkuu,
Nadhani umeona kilichomkuta mkuu wa mkoa
Bado unasubiri nini chadema?Mimi ni chadema ila kazi ya Mama ni babu mkubwa,
Nitamuunga mkono Yeye na watu wake
😍😍😍 Ya KijaniTanzania
Itisha uchaguzi huru . Polisi wake mbali na usalama tuone.Mtazusha yote ila CCM ndio CHAMA
Uchaguzi huru mnaoutaka labda ufanyikie Ufipa, Chadema imekwisha kabisa kabisaItisha uchaguzi huru . Polisi wake mbali na usalama tuone.
Wewe unategemea police na usalama Afu unajiita chama .
Labda chama cha kina shaka wanaowekwa kinyumba na kina mpelembwe huko Tanga
Bisha kama hilo ni UONGO nishushe evidence hapa
Sana😍😍😍 Ya Kijani
Imekwisha kabisa wakati hata wakicheza draft wanakamatwa? Muulize sirro kama alikwisha Kamata kiongozi wa NCCR, TLP au UDP. Hivi ndo vyama vilivyoisha sasa?Uchaguzi huru mnaoutaka labda ufanyikie Ufipa, Chadema imekwisha kabisa kabisa
Chadema mikwara sana
Chadema wanaelekea kibla,Chadema mikwara sana