Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,670
2,000

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
5,213
2,000
Huyo uliyemtaja mwenyewe ni mbambika kesi no 1

6FD61F63-809E-4C7C-AD82-0790CD7E0238.jpeg
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Mtazusha yote ila CCM ndio CHAMA
Itisha uchaguzi huru . Polisi wake mbali na usalama tuone.
Wewe unategemea police na usalama Afu unajiita chama .
Labda chama cha kina shaka wanaowekwa kinyumba na kina mpelembwe huko Tanga
Bisha kama hilo ni UONGO nishushe evidence hapa
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
3,135
2,000
Itisha uchaguzi huru . Polisi wake mbali na usalama tuone.
Wewe unategemea police na usalama Afu unajiita chama .
Labda chama cha kina shaka wanaowekwa kinyumba na kina mpelembwe huko Tanga
Bisha kama hilo ni UONGO nishushe evidence hapa
Uchaguzi huru mnaoutaka labda ufanyikie Ufipa, Chadema imekwisha kabisa kabisa
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Uchaguzi huru mnaoutaka labda ufanyikie Ufipa, Chadema imekwisha kabisa kabisa
Imekwisha kabisa wakati hata wakicheza draft wanakamatwa? Muulize sirro kama alikwisha Kamata kiongozi wa NCCR, TLP au UDP. Hivi ndo vyama vilivyoisha sasa?
Unashindana na chama kilichokwisha Afu unaingia na kura kwenye mabegi( rejea ya mdee na kule kigoma jumba la makumbusho kasulu)
Mlipiga kura siku mbili kabla hapo kinondoni ( madogo walishiriki na kwenye Vituo mliingiza makada kama wasimamizi)
Kawadanganye wapuuzi wenzio huko lumumba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom