Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

AGGGOT TZ

JF-Expert Member
Sep 14, 2018
750
500
Hio sentensi ya pili nakubaliana nayo, ila naona shida kidogo. Mmezuia mikutano ya wapinzani, mnatarajia sera zao watanadi wapi? CCM wako huru kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano ila wapinzani wamezuiwa. Huu sio uwanja sawa wa kufanya siasa. Acha sera zishindanishwe, wananchi waamue.
Mikutano inafanyika mkuu acha kuwaamini chadema hawana pesa ya mikutano,
 
Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
559
1,000
hivi CCM wanawachukuliaje watanzania? mbumbu sana na hatujui kusoma wala kuandika kiasi cha kutojua yanayoendelea nchini.
tatizo watu wajinga mara nyingi hawajijui ni wajinga na wanafikiri wengine wote wajinga
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,335
2,000
Mikutano inafanyika mkuu acha kuwaamini chadema hawana pesa ya mikutano,
Ushaona mikutano ya hadhara ya UDP, APPT, TADEA, ACT, CUF na wengine? Maana wapinzani sio Chadema pekee, wala siko hapa kuwasemea. Wana visemeo vyao
 
AGGGOT TZ

JF-Expert Member
Sep 14, 2018
750
500
Ushaona mikutano ya hadhara ya UDP, APPT, TADEA, ACT, CUF na wengine? Maana wapinzani sio Chadema pekee, wala siko hapa kuwasemea. Wana visemeo vyao
Mkutano ni gharama mkuu,

Watu hawana pesa,

Sasa CCM inalaumiwa kwa lipi?
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,335
2,000
Mkutano ni gharama mkuu,

Watu hawana pesa,

Sasa CCM inalaumiwa kwa lipi?
Wewe ndio unaesema hawana pesa. Wataalamu wanasema kuna intelijensia inawaeleza kuwa kuna viashiria vya vurugu. Ila hio ni kw wapinzani tu, sio CCM
 
Lyamba lya mfipa

Senior Member
May 13, 2021
120
225
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA

"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na kupiga vita ubadhirifu"

"Chama cha Mapinduzi kinakipongeza ACT Wazalendo kwa kushinda katika jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni mkoani Kaskazini Pemba na hiyo ndio siasa safi"

"Kumalizika kwa chaguzi hizi ndogo za udiwani na ubunge majimbo ya Konde na Ushetu kwetu kumetupa funzo kwa wenzetu katika uso wa demokrasia"

"Katika kujenga na kukuza uchumi serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kuvutia uwekezaji"

"Chama cha Mapinduzi kinaendelea kuwaomba na kuwahamasisha wananchi wote kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, Rais ambaye ana dhamira njema ya kutaka kutufikisha kule tunakotaka na kudumisha huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, maji, elimu"

"Chama cha Mapinduzi kinatoa wito kwa wanachama na kamati za siasa za ngazi zote kuhakikisha kwamba wanafuatilia kwa karibu sana utekelezaji wa mradi wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19 kuhakikisha hakuna fedha zinaliwa"

"Fedha za mradi wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19 sadaka bali zimekuja kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Fedha zimekuja kwa ajili ya kuwaletea maendeleo ya Watanzania na kuhakikisha uchumi wa mtu mmoja mmoja unainuka"

"Chama cha Mapinduzi ni chama kikubwa katika mambo ambayo CCM iko nayo makini ni mambo ambayo yanayobeba maslahi mapana ya CCM na ndio sababu inaendelea kusalia madarakani. Kwa yeyote ambaye aliyekwenda kinyume na taratibu, taratibu zake zipo na zitafuatwa"

"CCM ndio inaunda dola na kupewa dhamana ya uongozi, tumekuwa tukipita na kuangalia miradi na kusema hapa tumeridhika na hapa hatujaridhika na kutaka hatua zichukuliwe, tunafanya hivyo kwa kuwa sisi ndio tumebeba dhamana na maslahi ya serikali"​

View attachment 1972077
Mimi ni mwanaccm ila shaka hiki cheo kimemzidi uwezo ni empty headed, blah blah nyingi sjui wenzangu mmeona point?
 
Shaka ni Mtu na nusu yaani
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,413
2,000
hivi CCM wanawachukuliaje watanzania? mbumbu sana na hatujui kusoma wala kuandika kiasi cha kutojua yanayoendelea nchini.
Kama unajua na bado unaishi kwa sababu gani?
Si ujiuwe tu ili upumzike uachwe kudanganywa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom