Hawa wanaomtaja Abood wana ajenda ya siri kisiasa.Kwa kuwa huyu jamaa maarufu sana kimbilio la wanyonge huko mji kasoro bahari,inaelekea anawajua wote.Nimewahi kumwona ni mstaarabu,mtaratibu lakini mwaminifu sana.Unaambiwa wananchi wa jimbo lake anawapokea mpaka nyumbani kwake kusikiliza shida zao mpaka usiku.Isitoshe ni mkaaji jimboni tofauti na wabunge wengi wa majimbo ambao wanaishi Dar lakini Jimbo lake lipo maelfu ya kilomita.