Shaka Hamdu Shaka akutana na kundi la Jamii Mpya

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na kuwajengea uwezo wa kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo hapa nchini.

Mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi ndogo ya CCM lumumba, Jumatano 01 Septemba, 2021.

#ChamaImara
#KaziIendelee

IMG_20210901_181619_087.jpg




IMG_20210901_181619_174.jpg
 
Naona mmoja kaja kutangaza fursa ya mapaja yake kwa muenezi, “dada changamkia fursa, kama issue ni pesa basi Lumumba ndio mahali pake”
 
Back
Top Bottom