Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,106
- 1,265
Wapi kasemawl amri ya Rais?
Viva Samia VivaClick to expand...
Mimi ni chadema ila Samia dam
Wapi kasemawl amri ya Rais?
Viva Samia VivaClick to expand...
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1971181
14|10|2021Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidiUtawasikia, CCM ina WATU vichwa sana, ukiuliza ni wapi, utaambiwa, SHAKA HAMDU SHAKA
👇🏿👇🏿👇🏿Uhuru unaotafutwa kwa migomo sio uhuru, amekosea pa kutafutia sifa aache kukurupuka.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
GoodRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Inaleta faraja sana👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,
Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29
Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300
Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883
_________________________
Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.
#Hoja hapa ni muda wa matokeo
#HAKUNA KAMA SAMIA
NikweliInaleta faraja sana
😍😍Ndani ya Uongozi wa Rais Samia,
Mahakama huru,
Bunge huru,
NGOs huru
Media huru
#TanzaniakwaniSisitunatakaje?
Huyu ni johnthebaptist wa wikend namsubiri johnthebaptist wa jumatatu.Aende Kenya akauone Uhuru wa mahakama!
Sana ✍🏿✍🏿Mambo moto moto
jamaa anaandika balaaHuyu ni johnthebaptist wa wikend namsubiri johnthebaptist wa jumatatu.
Hongera sana Mhe ShakaShaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Mtu na nusuShaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.
Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan.
Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka
View attachment 1941361
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Ndio👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,
Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29
Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300
Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883
_________________________
Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.
#Hoja hapa ni muda wa matokeo
#HAKUNA KAMA SAMIA
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia kuzingatia Demokrasia na Uhuru wa Mahakama
==================================
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo..