Shaka: Chokochoko za kisiasa ni hatari kwa umoja wa kitaifa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
664
829
CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA

Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono

Na MWANDISHI WETU, Pemba

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM melaani kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzi Zanzibar zenye kuhubiri mgawanyiko na kuchochea uvunjifu wa amani.

Shaka ameyasema hayo leo Desemba 17, 2022, wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyi yaliyofanyika kisiwani Pemba.

"Chama Cha Mapinduzi kinalaani vikali vitendo vilivyoanza kujitokeza siku za karibuni hasa kisiwani Pemba kwa baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa baadhi ya vyama vya siasa kuhubiri mgawanyiko kuchochea uvunjifu wa amani, sio utamaduni wetu wazanzibari, sio utamaduni wetu Watanzania, CCM inalaani vikali, alisema.

Ameema Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Ibara ya 9(a) imeahidi katika kipindi cha miaka mitano kazi kubwa itakayofanywa na CCM ni kuimarisha maridhiano, kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.

Shaka amesema kazi hiyo inafanywa vizuri na Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi. "Kuweni na amani wana CCM. Hamtajutia kumwani Dk. Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, nia yake ni kutuvusha."

Katibu Mwenezi Shaka amesema Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi ni nyenzo muhimu katika kuendeleza mapatano, maridhiano na masikilizano ya kisiasa nchini.

"Wameanza vizuri sana kwa sababu wana baraka za Chama Cha Mapinduzi," alisema.
 
Attachments

  • VID-20221217-WA0153.mp4
    27.8 MB

Hakunaga chokochoko za kisiasa kama kuna fair play ground! Haki huinua Taifa!!
 
Hizo lugha za laghai zinatakiwa zijibiwe kwa machafuko makali. Ccm wanafanya uhuni wote hadharani, kisha wakipanda jukwaani wanajifanya kuongea lugha za Hadaa. Machafuko tu ndio yataleta heshima.
 
Bila kuchapana hii nchi tutaendelea kuchezeana tu
 
Sl
CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA

Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono

Na MWANDISHI WETU, Pemba

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM melaani kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzi Zanzibar zenye kuhubiri mgawanyiko na kuchochea uvunjifu wa amani.

Shaka ameyasema hayo leo Desemba 17, 2022, wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyi yaliyofanyika kisiwani Pemba.

"Chama Cha Mapinduzi kinalaani vikali vitendo vilivyoanza kujitokeza siku za karibuni hasa kisiwani Pemba kwa baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa baadhi ya vyama vya siasa kuhubiri mgawanyiko kuchochea uvunjifu wa amani, sio utamaduni wetu wazanzibari, sio utamaduni wetu Watanzania, CCM inalaani vikali, alisema.

Ameema Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Ibara ya 9(a) imeahidi katika kipindi cha miaka mitano kazi kubwa itakayofanywa na CCM ni kuimarisha maridhiano, kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.

Shaka amesema kazi hiyo inafanywa vizuri na Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi. "Kuweni na amani wana CCM. Hamtajutia kumwani Dk. Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, nia yake ni kutuvusha."

Katibu Mwenezi Shaka amesema Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi ni nyenzo muhimu katika kuendeleza mapatano, maridhiano na masikilizano ya kisiasa nchini.

"Wameanza vizuri sana kwa sababu wana baraka za Chama Cha Mapinduzi," alisema.
Hawa ndio wanatuharibia nchi.
Wanatetea mamlaka sisi tunataabika, na wakae wasubirie
 
Kabisa. Mambo sijui ya maridhiano ni utapeli wa mchana kweupe. Machafuko tu ndio yataleta heshima.
Mama mwanzoni alikuwa na dhamira njema. Lkn watoto wa mjini (walioparaganya mchakato wa katiba mpya dakika za mwiso) wameyateka mazungumzo. Hakuna kitu kitafanyika
 
CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA

Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono

Na MWANDISHI WETU, Pemba

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM melaani kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzi Zanzibar zenye kuhubiri mgawanyiko na kuchochea uvunjifu wa amani.

Shaka ameyasema hayo leo Desemba 17, 2022, wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyi yaliyofanyika kisiwani Pemba.

"Chama Cha Mapinduzi kinalaani vikali vitendo vilivyoanza kujitokeza siku za karibuni hasa kisiwani Pemba kwa baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa baadhi ya vyama vya siasa kuhubiri mgawanyiko kuchochea uvunjifu wa amani, sio utamaduni wetu wazanzibari, sio utamaduni wetu Watanzania, CCM inalaani vikali, alisema.

Ameema Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Ibara ya 9(a) imeahidi katika kipindi cha miaka mitano kazi kubwa itakayofanywa na CCM ni kuimarisha maridhiano, kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa.

Shaka amesema kazi hiyo inafanywa vizuri na Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi. "Kuweni na amani wana CCM. Hamtajutia kumwani Dk. Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, nia yake ni kutuvusha."

Katibu Mwenezi Shaka amesema Rais Dk. Samia na Rais Dk. Mwinyi ni nyenzo muhimu katika kuendeleza mapatano, maridhiano na masikilizano ya kisiasa nchini.

"Wameanza vizuri sana kwa sababu wana baraka za Chama Cha Mapinduzi," alisema.
Huyu mla rushwa anajiona bara ni mali yake binafsi
 
Back
Top Bottom