Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM ya 2020/2025

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
658
821
Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM.

Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri ya wilaya ya geita mji kuwa, serikali inayoongozwa na rais samia suluhu hassan, itatekeleza ahadi zote zilizoahidiwa katika ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025.

#ChamaImara
#KaziIendelee
 
Kuna miradi tangu aliahidi goli la mkono mpaka Leo haijatekelezeka.Shaka ni mashaka.
Ufafanuzi majukumu ya hiki cheo cha Itikadi na uenezi
 
Tunamwona Shaka kama mpiga porojo tu.

Huku kwetu Rungwe tuna mradi ambao sasa ni mwaka wa 25 haujakamilika.

Barabara ya Busokelo-Tukuyu na daraja lake la Mbaka.

Tunaomba atembelee.
 
Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM.
View attachment 2013338

Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri ya wilaya ya geita mji kuwa, serikali inayoongozwa na rais samia suluhu hassan, itatekeleza ahadi zote zilizoahidiwa katika ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025.

#ChamaImara
#KaziIendelee
Kazi iendelee kwa kasi, Hongera Sana Shaka
 
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA Tz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom